Browsing category

Free Teaching Resources

Free resources for teaching and learning for Pre-Primary School, Primary School, Secondary School, and Tertiary Institutions.

Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA TENDO LA KWANZA Join Our Facebook Page Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka. Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea […]