Browsing Category
High School Notes
Secondary School class notes for all subjects from form 1 to form.
Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA
TENDO LA KWANZA
Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka.
Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea uhuru…
Read More...