Browsing tag

mwongozo wa kigogo

Wahusika na Sifa Zao Katika Riwaya ya Chozi la Heri

Join Our Telegram Group Mhusika ni mtu katika riwaya au hadithi fulani anayetenda mambo kadha wa kadha, kadri mtunzi wa hadithi au riwaya atakavyo, ili kujenga hadithi yake. Wahusika katika riwaya ya Chozi la Heri, wametumika kuafikisha maudhui ambayo mtunzi anataka kupitisha kwa msomaji. Kila mhusika ana sifa na umuhimu wake katika kazi hii ya […]

Uchambuzi wa Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri

Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri Join Our Telegram Group Jalada la Riwaya ya Chozi la Heri ni tokeo la usanii wake, Robert Kambo. Rangi ya kijani kibichi Katika upande wa mbele sehemu ya juu, mna rangi ya kijani kibichi iliyokolea. Maana ya rangi hii ni uhai na rutuba. Riwayani yamo maeneo yaliyo na […]

Maswali ya Insha na Dondoo Kutoka Tamthilia ya Kigogo

A) Maswali ya Insha Kutoka Tamthilia ya Kigogo Join Our Telegram Group 1) Jadili jinsi maudhui ya uzalendo yamejitokeza katika tamthilia ya Kigogo. (al 20) 2) “Mwandishi wa tamthilia ya kigogo anadhamiria kujenga jamii mpya”Thibitisha ukweli wa kauli hii. (al 20). 3) “Maandamano na migomo ni tatizo sugu katika mataifa yanayoendeleaa.” Kwa kurejelea tamthilia ya […]

MBINU ANAZOTUMIA MAJOKA KUONGOZA SAGAMOYO NA MATAKWA YA WANASAGAMOYO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Katika tamthilia ya Kigogo, Majoka kama kiongozo anatumia mbinu tofauti tofauti kuaongoza wana Sagamoyo. Nao wana Sagamoyo wanayo matakwa wanayotaka kuotoka kwa viongozi wao. Zifuatazo ndizo mbinu azitumiazo Majoka. MBINU ANAZOTUMIA MAJOKA KUONGOZA SAGAMOYO Kufuatia uchambuzi wetu wa tamthilia ya Kigogo, zifuatazo ndizo mbinu anazotumia Majoka ili kuaongoza Wanasagamoyo. Uvumi. Watu wa Majoka wanaeneza uvumi […]

MBINU ZA UANDISHI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Mwandishi Pauline Kea, ametumia mbinu tofauti za uandishi katika tamthilia ya Kigogo. Zifuatazo ndizo mbinu zilizotumika: KINAYA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO Habari zinazotolewa na mjumbe katika rununu ni za kinaya, kuwa wanasagamoyo wasirudishe maendeleo nyuma bali wafurahie ufanisi ambao umepatikana katika kipindi cha miaka tisini baada ya uhuru. Ujumbe huu ni kinaya kwa vile Sagamoyo […]

UCHAMBUZI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Kuna maudhui kadhaa yanayojitokeza kwenye tamthilia ya Kigogo iliyoandikwa naye Pauline Kea. Haya ndio baadhi ya maudhui hayo: 1) UONGOZI MBAYA Viongozi huangaisha wanyonge, Ashua anasema, “…na kuhangaishwa na wenye nguvu ndio hewa tunayopumua huko.” (uk 2) Wachochole hutumikizwa na viongozi, Kombe, Boza na Sudi wanafanya kazi ya kuchonga vinyago vya mashujaa kwa ajili ya […]

WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la Chapakazi. Ni mkware. Anapanga njama ya kumpata Ashua, anamtaka kimapenzi licha ya kuwa na mke na mtoto. Ashua anapofika […]