MBINU ZA UANDISHI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Join Our Telegram Group Mwandishi Pauline Kea, ametumia mbinu tofauti za uandishi katika tamthilia ya Kigogo. Zifuatazo ndizo mbinu zilizotumika: KINAYA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO Habari zinazotolewa na mjumbe katika rununu ni za kinaya, kuwa wanasagamoyo wasirudishe maendeleo nyuma bali wafurahie ufanisi ambao umepatikana katika kipindi cha miaka tisini baada ya uhuru. Ujumbe huu ni […]