UCHAMBUZI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Join Our Telegram Group Kuna maudhui kadhaa yanayojitokeza kwenye tamthilia ya Kigogo iliyoandikwa naye Pauline Kea. Haya ndio baadhi ya maudhui hayo: 1) UONGOZI MBAYA Viongozi huangaisha wanyonge, Ashua anasema, “…na kuhangaishwa na wenye nguvu ndio hewa tunayopumua huko.” (uk 2) Wachochole hutumikizwa na viongozi, Kombe, Boza na Sudi wanafanya kazi ya kuchonga vinyago vya […]