Browsing category

High School Notes

Secondary School class notes for all subjects from form  1 to form.

MBINU ZA UANDISHI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Join Our Facebook Page Mwandishi Pauline Kea, ametumia mbinu tofauti za uandishi katika tamthilia ya Kigogo. Zifuatazo ndizo mbinu zilizotumika: KINAYA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO Habari zinazotolewa na mjumbe katika rununu ni za kinaya, kuwa wanasagamoyo wasirudishe maendeleo nyuma bali wafurahie ufanisi ambao umepatikana katika kipindi cha miaka tisini baada ya uhuru. Ujumbe huu ni […]

UCHAMBUZI WA MAUDHUI KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Join Our Facebook Page Kuna maudhui kadhaa yanayojitokeza kwenye tamthilia ya Kigogo iliyoandikwa naye Pauline Kea. Haya ndio baadhi ya maudhui hayo: 1) UONGOZI MBAYA Viongozi huangaisha wanyonge, Ashua anasema, “…na kuhangaishwa na wenye nguvu ndio hewa tunayopumua huko.” (uk 2) Wachochole hutumikizwa na viongozi, Kombe, Boza na Sudi wanafanya kazi ya kuchonga vinyago vya […]

WAHUSIKA KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

Join Our Facebook Page Kunao wahusika kadhaa katika tamthilia ya Kigogo. Hawa ndio wahusika, na sifa kuwahusu. MAJOKA Ni kiongozi wa jimbo la Sagamoyo. Ni katili. Anaamuru Tunu auliwe,anavunjwa mfupa wa muundi. Anamwambia kingi awapige watu risasi katika soko la Chapakazi. Ni mkware. Anapanga njama ya kumpata Ashua, anamtaka kimapenzi licha ya kuwa na mke […]

Form 1 Biology: Introduction To Biology

Introduction To Biology Biology derived from Greek words-BIOS meaning LIFE and LOGOS meaning STUDY or KNOWLEDGE. Biology means “life knowledge”. It is the study of living things/organisms. Branches of Biology Botany – the study of plants. Zoology – the study of animals. Microbiology – the study of microscopic organisms. Morphology – the study of external […]

Introduction to Physics – Videos and Notes – Form 1

VIDEO LESSON: Introduction to Physics – What is Physics? Click on play on the video below to watch the lesson. Science in our lives Scientists are people trained in science and who practice the knowledge of science. We require people in industries to work as engineers, technicians, researchers, in hospitals as doctors, nurses, and technologists. […]

Mwongozo Wa Kigogo: MTIRIRIKO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO

MTIRIRIKO KATIKA ONYESHO LA KWANZA TENDO LA KWANZA Ni katika karakana ya soko la Chapakazi, Sudi, Boza na Kombe wanafanya kazi ya uchongaji.Sudi amefungulia radio huku wakiendelea na kazi yao.Ashua anawaletea chai ya mkandaa na mahamri na kuondoka. Habari inatolewa kwa wananchi wa Sagamoyo kuwa wana kipindi cha mwezi mzima kusheherekea uhuru wao, wawaku buke […]