Browsing tag

Kiswahili

2019 KCSE KISWAHILI (102) KNEC REPORT

Join Our Telegram Group Hii ni ripoti ya utendaji wa KCSE ya Kiswahili ya 2019 kutoka Baraza la Mitihani la Kenya KNEC.Ingawa matokeo ya jumla ya somo la Kiswahili katika mwaka wa 2019 yameimarika, utendaji wa asilimia kubwa ya wanafunzi unaelekea kuwa hafifu- Hili linadhihirika kwa matokeo ya karatasi ya tatu, ambayo yamekuwa yakishuka mwaka […]