MASWALI YA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE
Join Our Telegram Group MASWALI YA MAPAMBAZUKO YA MACHWEO NA HADITHI NYINGINE FADHILA ZA PUNDA Kwa kutaja mifano mitano kutoka kwenye hadithi, Eleza ni kwa nini hadithi hii ikapewa anwani ya “Fadhila za punda” Fafanua sifa za wahusika wafuatao kama zinavyojitokeza katika hadithi hii Luka Lilia Babake Lilia Jadili nafasi ya mwanamke katika hadithi hii […]