MBINU ANAZOTUMIA MAJOKA KUONGOZA SAGAMOYO NA MATAKWA YA WANASAGAMOYO KATIKA TAMTHILIA YA KIGOGO
Join Our Facebook Page Katika tamthilia ya Kigogo, Majoka kama kiongozo anatumia mbinu tofauti tofauti kuaongoza wana Sagamoyo. Nao wana Sagamoyo wanayo matakwa wanayotaka kuotoka kwa viongozi wao. Zifuatazo ndizo mbinu azitumiazo Majoka. MBINU ANAZOTUMIA MAJOKA KUONGOZA SAGAMOYO Kufuatia uchambuzi wetu wa tamthilia ya Kigogo, zifuatazo ndizo mbinu anazotumia Majoka ili kuaongoza Wanasagamoyo. Uvumi. Watu […]