Sale!

Mwongozo Wa Tumbo Lisiloshiba

KSh200.00 KSh100.00

TUMBO LISILOSHIBA Said A. Mohamed
Hadithi inaanza kwa taharuki kuhusu uvumi uliogeuka mnong’ono ukaeneza wasiwasi-hofu. Wasiwasi ulikuwa vibanda vitabomolewa vote. Watu wakubwa walitaka kuchukua makao ya watu ili kuendeleza ujenzi wao. Kwa Mzee Mago ndiko kituo cha kuzungumzia juu ya haki zao. Yeye huwakusanya wenzake iii wajadili juu ya haki zao za kuishi pale wanapochagua. Wanahojiana mambo juu ya:
Kustahili kuishi kwa amani na furaha popote nchini mwao.
Namna ya kuruka vikwazo vya sheria vilivyowekwa ili watu wadogo wasiweze kupoteza mali zao.
Kushawishiana watafute wanasheria waaminifu iii kutatua (mazonge ya sheria). Wanadai kuwa wanasheria waaminifu wameadimika hakuna haki siku hizi.
Kunasihiana na kuamshana juu ya kukubali maendeleo yanayopiga kasi nchini mwao.
Maendeleo yanahitaji mchango wa kila mtu mdogo kwa mkubwa, wa kike kwa wa kiume.

GET COMPLETE ACCESS!

Want to Download all materials for free? Become a member, sign up for a subscription plan and access all our resources for free forever. Call/ SMS 0727539478 for details on one off payment plans.

1. PAYMENTS VIA MPESA

You can pay for our products and subscription via Safaricom Mpesa details below:

[caption id="attachment_374" align="aligncenter" width="300"]Teacher.co.ke Mpesa Till number Teacher  E-Solutions  Mpesa Buy Goods and Services Till number.[/caption]2. PAYMENTS VIA PAYPALWe also accept paypal payments. Paypal allows you to use all Credit cards to make payment to our site.

Description

Yaliyomo
1.1 Tumbo Lisiloshiba Said A. Mohamed 5
1.2 Mapenzi ya Kifaurongo Kenna Wasike -.15
1.3 Shogake Dadangu ana Ndevu Alifa Chokocho 26
1.4 Shibe Inatumaliza Salma Omar Hamad 34
1.5 Mame Bakari Mohammed K. Ghassany 41
1.6 Masharti ya Kisasa
1.7 Ndoto ya Mashaka
1.8 Kidege
1.9 Nizikeni Papa Hapa
1.10 Tulipokutana Tena
1.11 Mwalimu Mstaafu
1.12 Mtihani wa Maisha
1.13 Mkubwa

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “Mwongozo Wa Tumbo Lisiloshiba”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

1 × 1 =