Sale!

Mwongozo wa Kigogo Notes

KSh200.00 KSh100.00

ANWANI YA TAMTHILIA.
Kigogo ni mtu mwenye madaraka makubwa kiutawala.

Majoka anatumia madaraka yake kulaghai wananchi, anachukua vilivyo vyao.

Anatangaza kipindi cha mwezi mzima cha kusheherekea uhuru kutumia madaraka aliyonayo.

Majoka anafunga soko la Chapakazi ili sehemu hiyo ajenge hoteli ya kifahari kwa kutumia madaraka aliyonayo.

Anapandisha bei ya chakula katika kioski kwa vile ana madaraka.

Majoka anatumia mamlaka yake kumteka na kumtia ndani Ashua.Anamtendea ukatili, Ashua ana majeraha kutokana na kichapo.

Majoka anapanga kifo cha Jabali, mpinzani wake. Anampangia ajali na kuangamiza wapinzani wake pamoja na chama chake kwa kutumia mamlaka yake..

Majoka anapanga kutumia mamlaka yake kuzima uchunguzi wa Tunu kuhusu kifo cha Jabali.

Product Description

This is a complete mwongozo wa kigogo pdf guide, download this mwongozo wa kigogo by Pauline Kea for only Ksh.100. Mwongozo wa tamthilia ya Kigogo Kigogo summary kigogo notes kigogo set book

ANWANI YA TAMTHILIA.
Kigogo ni mtu mwenye madaraka makubwa kiutawala.

Majoka anatumia madaraka yake kulaghai wananchi, anachukua vilivyo vyao.

Anatangaza kipindi cha mwezi mzima cha kusheherekea uhuru kutumia madaraka aliyonayo.

Majoka anafunga soko la Chapakazi ili sehemu hiyo ajenge hoteli ya kifahari kwa kutumia madaraka aliyonayo.

Anapandisha bei ya chakula katika kioski kwa vile ana madaraka.

Majoka anatumia mamlaka yake kumteka na kumtia ndani Ashua.Anamtendea ukatili, Ashua ana majeraha kutokana na kichapo.

Majoka anapanga kifo cha Jabali, mpinzani wake. Anampangia ajali na kuangamiza wapinzani wake pamoja na chama chake kwa kutumia mamlaka yake..

Majoka anapanga kutumia mamlaka yake kuzima uchunguzi wa Tunu kuhusu kifo cha Jabali.

Free download mwongozo wa kigogo by pauline kea after making payment.

Other related terms for this guide includes: uchambuzi wa kigogo na pauline kea, kigogo mwongozo pdf , ufupisho wa kigogo, muhtasari wa kigogo, summary notes for kigogo,

2 reviews for Mwongozo wa Kigogo Notes

  1. Avatar

    Moibari james kingson

    How can I get a video play for kigogo

  2. Avatar

    wakoli kelvin

    send me the pdf of the sammary of the book

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

3 × two =