Teacher.co.ke
Latest Education News, Free School Notes, and Revision Materials

Fasihi Simulizi Notes

KSh0.00

Fasihi simulizi ni sanaa inayotumia lugha kuwasilisha ujumbe unaomhusu binadamu.
Sanaa ni ufundi wa kuwasilisha fikra na hisia za binadamu kama vile maneno, maandishi, uchoraji, uchongaji, ufinyanzi n.k.

Fasihi simulizi ni sanaa kwa vile:

 1. Huwasilisha ujumbe kuhusu binadamu kuhusu utamaduni na uchumi.
 2. Huwa na umbo mahsusi k.m. hadithi huwa na mwanzo, kati na mwisho na mashairi huwa na beti, mishororo, n.k.
  Hutumia lugha kwa ufundi k.v. ya kitamathali.
 3. Husawiri mandhari/mazingira mahsusi kwa ufundi mkubwa.
 4. Hujenga wahusika kwa ustadi mkuu ili kusawiri tabia za watu katika jamii.

Description

This notes covers fasihi simulizi in form one (F1) and helps you to answer questions on fasihi simulizi ie. maswali ya fasihi simulizi na umuhimu wa fasihi simulizi.

More Related Topics